Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie ndio wakezenu wanasauti kuliko wewe katk familiaKwa utafiti ulio fit wenye mantiki nimegundua kua,
Wachangiaji wa JF wenye majina mawili wanasifa hizi,
1. Uwezo wa ni mdogo hasa katika uchangiaji
2. Wengi ni wageni/ wapya humu
3. Wanapenda kukweza na mbwembwe kibao
4. Masikini
Ila wenye jina moja na fupu, sifa yao kubwa wengi ni wakongwe, kiuchumi wako vizuri, hawana kujikweza, wanachangia vizuri, wanafurahisha.
Naomba kuwasilisha.
Paschal Mayala inamuhusu hii. Kwa lugha nyingine unamaanisha verified users wote hawako vizuri.Kwa utafiti ulio fit wenye mantiki nimegundua kua,
Wachangiaji wa JF wenye majina mawili wanasifa hizi,
1. Uwezo wa ni mdogo hasa katika uchangiaji
2. Wengi ni wageni/ wapya humu
3. Wanapenda kukweza na mbwembwe kibao
4. Masikini
Ila wenye jina moja na fupu, sifa yao kubwa wengi ni wakongwe, kiuchumi wako vizuri, hawana kujikweza, wanachangia vizuri, wanafurahisha.
Naomba kuwasilisha.
Ufafanuzi 🤕
Mdau umehije sit ya jirani na Dereva?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Kawashika pabaya nini?Hiyo ni asili ya mtu majina hayana uzibitisho wowote kuhuusu hilo
Haahahaha, hii sredi niliiona nikaikimbia!Kwenye list yako ya wajinga ni wenye majina mawili halafu wako vibaya watoe hawa Malcom Lumumba, Red Giant, Sky Eclat, zitto junior, Mwl. RCT , CHIEF MKWAWA aseh wapo wengi sana!..
Rudia tafiti tu!.🚨
Ukaona ukichangia tu, utaitwa kapuku!!😂😂Haahahaha, hii sredi niliiona nikaikimbia!