Wenye ID yenye majina mawili uwezo wao ni mdogo kuliko wenye Jina moja

Wenye ID yenye majina mawili uwezo wao ni mdogo kuliko wenye Jina moja

Kwa utafiti ulio fit wenye mantiki nimegundua kua,
Wachangiaji wa JF wenye majina mawili wanasifa hizi,
1. Uwezo wa ni mdogo hasa katika uchangiaji
2. Wengi ni wageni/ wapya humu
3. Wanapenda kukweza na mbwembwe kibao
4. Masikini

Ila wenye jina moja na fupu, sifa yao kubwa wengi ni wakongwe, kiuchumi wako vizuri, hawana kujikweza, wanachangia vizuri, wanafurahisha.

Naomba kuwasilisha.
nyie ndio wakezenu wanasauti kuliko wewe katk familia
 
Hahaha...hizi tafiti mwitu hizi
 
Haya mkuu Mimi nakutunuku "uprofesa" kwa utafiti wako but mind you that ni uprofesa wa vilaza Jeiefu![emoji23] [emoji23]
 
Kwa utafiti ulio fit wenye mantiki nimegundua kua,
Wachangiaji wa JF wenye majina mawili wanasifa hizi,
1. Uwezo wa ni mdogo hasa katika uchangiaji
2. Wengi ni wageni/ wapya humu
3. Wanapenda kukweza na mbwembwe kibao
4. Masikini

Ila wenye jina moja na fupu, sifa yao kubwa wengi ni wakongwe, kiuchumi wako vizuri, hawana kujikweza, wanachangia vizuri, wanafurahisha.

Naomba kuwasilisha.
Paschal Mayala inamuhusu hii. Kwa lugha nyingine unamaanisha verified users wote hawako vizuri.
 
Sio Kweli Mkuu. Ila Uko Sahihi Kwa Mtazamo Wako. But Ungeweka Na Data Kidogo Kasample Space. Tuelewe Vzur. Utaft Gani Hauna Namba HAta Kdogo
 
Hivi TCC sigara wanazotengeneza wanatumia malighafi gani wakuu?

Ni yale majani mapana kutoka Tabora au ni yale majani ya Meru yanayolimwa mafichoni?
 
Back
Top Bottom