Wenye ID yenye majina mawili uwezo wao ni mdogo kuliko wenye Jina moja

hiden

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
376
Reaction score
691
Kwa utafiti ulio fit wenye mantiki nimegundua kua,
Wachangiaji wa JF wenye majina mawili wanasifa hizi,
1. Uwezo wa ni mdogo hasa katika uchangiaji
2. Wengi ni wageni/ wapya humu
3. Wanapenda kukweza na mbwembwe kibao
4. Masikini

Ila wenye jina moja na fupu, sifa yao kubwa wengi ni wakongwe, kiuchumi wako vizuri, hawana kujikweza, wanachangia vizuri, wanafurahisha.

Naomba kuwasilisha.
 
Labda walichagua jina moja wakaambiwa hilo jina linatumika na mtu mwingine. Hivyo hawana option.
 
Tunaomba vielelezo vya utafiti wako tafadhali isije kua umejifanyia utafiki mwenyewe!
Kabla ya vielelezo cvya utafiti. Muulize kama analipa kodi au kazi kuwakimbia TRA?

Hilo la kuthibitisha utafiti uu hali yake kiuchumi katu hawezi maana fikra zake zimetawaliwa na majigambo sifa ambayo wengi wao ni walioshindwa.

Hongera yake kwa kujifariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…