Wenye ID yenye majina mawili uwezo wao ni mdogo kuliko wenye Jina moja

Haijawahi kutokea mmiliki wa mali flan au bidhaa akakiri mwenyewe mbele za watu kuwa bidhaa yake ni feki. Hata simu kila mwenye nayo anasema ya kwake ni orijino japokuwa ni wazi kuwa ni feki, hivyo ni lazima na ww ujiite mwenye uwezo sana kwakuwa umepost mwenyewe na wewe mwenyewe una jina moja. Lakini kama usemavyo kuwa wengi ni wageni, je wewe ulizaliwa humu humu jf au uliingia ukiwa mgeni kama ambae ni mgeni kwa sasa?. ( Mgeni)+(jina) vina tafsiri vipi uwezo wa nafsi?
 
Duh, ila kwa kuwa hata chizi anawaona watu wazima ni machizi basi endelea kuwasilisha mkuu, hamna shida.
 
Kumbe mimi kiuchumi niko vizur..I didn't know that
 
Sasa Mwenye Aid Zaid Ya Moja. Unakuta Ingine Ina Jna Moja Ingne Mawili Na Ingne Matatu Uyo Anakuwa Kund Gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…