Biobenga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 394
- 533
Habari za ijumaa,
Nasikia mida hii mods wamelala, kama hawajalala sio mbaya pia nina swali kwao "kuwa na ID zaidi ya moja ni kosa kwa sheria za JF?" Baada ya swali hilo nawakumbusha mods tupo chitchat na ninawakaribisha wachangie kwenye uzi wangu.
Turudi kwenye mada sasa leo itakua vizuri tukazijua sababu za kuwa na ID zaidi ya moja. Kama una ID moja tu, na wewe pia karibu mpenz mtazamaji, usiseme tumekutenga.
Wacha nianze na sababu zangu za kuwa na ID mbili. Sababu ya kwanza ID yangu hii nilishaanza kujulikana, sasa kukawa na mada nliotaka kuanzisha na nisingependa kujulikana. Hili pia limewakuta wengine na bila hiyana mwanzo wa uzi huwa wanasema kuwa wamekuja na ID mpya.
Sababu ya pili ni backup ya ban. Yaani ukipigwa ban huku unahamia kule. Hili halijawahi kunikuta, japo naona kwa huu uzi sababu hii inaweza kutumika.
Nimesoma pia wanawake wanalalamika kuwa wanaume wana ID zao special kwa ajili ya PM. Yani hizo zimefunguliwa kwa kazi hiyo maalum, zisione dada analalamika sijui kaachika, au anataka mtoto, au jamaa wake ana kibamia basi lazima zifanye kazi yake.
Wakati tunasubiri majibu kama ni kosa au sio kosa hebu karibuni wenzangu tutiririke sababu ya kuongeza ID.
Sent using Jamii Forums mobile app