Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote wataochangia huu uzi wana ID zaidi ya moja.
Ngoja niorodheshe zangu hapa kimoyomoyo...
Kasie
Kasinde
Kasiba
Kenge
Crocodile
Cockroach
Rhomboids
Biceps
Triceps
A. Tomber
Nyingine nimesahau...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekosa la kusema
Nimekosa cha kuandika
Ya chama?
Duh, sasa tunaposema jf ina member 452,369 kumbe kuna watu wana id kama 10.Wote wataochangia huu uzi wana ID zaidi ya moja.
Ngoja niorodheshe zangu hapa kimoyomoyo...
Kasie
Kasinde
Kasiba
Kenge
Crocodile
Cockroach
Rhomboids
Biceps
Triceps
A. Tomber
Nyingine nimesahau...
Duh, sasa tunaposema jf ina member 452,369 kumbe kuna watu wana id kama 10.
Mimi id yangu nyingine ambayo ndio id yangu ya kwanza nilishasahau password hivyo ipo ila haitumiki.Ndo ukweli wenyewe huo, funguka tuu na wewe.
hhahaa nimechekaWengine wana ID mbili, kubalance gender.
Mbona zingine sijawahi kuziona? Zinaoperate in stealth mode?Wote wataochangia huu uzi wana ID zaidi ya moja.
Ngoja niorodheshe zangu hapa kimoyomoyo...
Kasie
Kasinde
Kasiba
Kenge
Crocodile
Cockroach
Rhomboids
Biceps
Triceps
A. Tomber
Nyingine nimesahau...
Naogopa kugonganisha Magari kwa T-Junction.Usijibane bana ukaja lipuka mbele za watu, sema tuu, andika tuu... Hakuna wa kukufunga hapa.
Mie nimesema ukweli wangu wootee.
Hujaamua tu, kuifufuaMimi id yangu nyingine ambayo ndio id yangu ya kwanza nilishasahau password hivyo ipo ila haitumiki.
Sio Dhambi...
Okay. Sasa nimejuaSio Dhambi...
Hakuna sehemu kwenye T&Cs wamesema hairuhusiwi
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Niliifungua ya 2 sababu hii ninayotumia niliisahau password.
Nilivyoikumbuka password ikabidi ile mpya niachane nayo.
Maana nilihisi ni mzigo niingie na hii nibadilishe niingie na nyingine duuh hapana nilishindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm nikushauri vizuri hahaUmeuonaje? Niendelee kuutumia au niubadilishe?
Pm huwa nakuogopa naweza nisirudi jukwaaniNjoo pm nikushauri vizuri haha