Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
- Thread starter
-
- #21
online tv kutoka zimbabwe, mmiliki wake alishawahi kuja tz mwaka jana nazani.Econet ni wapi hao?.. Naomba list ya channels zao na gharama ya vifurushi
Njo kwangu uangalieHata mimi naona bar inanihusu
DuhSafari hii mechi zote zitachezwa mchana
Siyo WORD CUP ni WORLD CUPWatangaze ya nini,,!!!wakati inajulikana wazi kuwa watarusha LIVE WORD CUP[emoji1321]
Namimi nimewaza hivyo, lkn sikuwa na uhakika, wewe unauhakika?KTN ya Azam TV inarusha matangazo ya world cup
Exactly. Wake zetu wajiandae kutumissHata uwe na ving'amuzi vyote lkn Bar na Vibanda umiza hakukwepeki
Mbona hilo dish kubwa ndio mpango mzima maana linaona league zotemleta uzi acha ushamba...world cup hata mwenye dish kubwa C band ataona..
Safari hii mechi zote zitachezwa mchana
Sio online hawa wana ving'amuzi cha dish kabisa channel zao zipo zilipo channel za azam - eutelsat 7b eastonline tv kutoka zimbabwe, mmiliki wake alishawahi kuja tz mwaka jana nazani.
Moja ya channel yao ni Kwese sport
Kwa maana hiyo azam watarusha chanel gani?Sio online hawa wana ving'amuzi cha dish kabisa channel zao zipo zilipo channel za azam - eutelsat 7b east
Siyo WORD CUP ni WORLD CUP
Kwa Dar vingamuzi vyao vinapatikana wapi na bei gani?Sio online hawa wana ving'amuzi cha dish kabisa channel zao zipo zilipo channel za azam - eutelsat 7b east
Yap huwa Ni station yangu pendwaNamimi nimewaza hivyo, lkn sikuwa na uhakika, wewe unauhakika?