Wenye king'amuzi cha azam tujiandae kisaikolojia?

Wenye king'amuzi cha azam tujiandae kisaikolojia?

Econet ni wapi hao?.. Naomba list ya channels zao na gharama ya vifurushi
online tv kutoka zimbabwe, mmiliki wake alishawahi kuja tz mwaka jana nazani.
Moja ya channel yao ni Kwese sport
 
Ndio maana mm nina ving'amuzi karibia vyote world cup nitaangalizia startimes
 
Kombe la dunia la mwaka huu limepooza sana....zile amsha amsha za World cup hazipo kabisa
 
online tv kutoka zimbabwe, mmiliki wake alishawahi kuja tz mwaka jana nazani.
Moja ya channel yao ni Kwese sport
Sio online hawa wana ving'amuzi cha dish kabisa channel zao zipo zilipo channel za azam - eutelsat 7b east
 
Back
Top Bottom