Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Hali hizo zote tajwa hapo juu,
Hazisababishwi na mdudu wa aina yeyote wala kuambukizwa na mtu.
Bali hutokana na mfumo wa kimaisha ndio hupelekea hali kama hizo kutokea.
Tiba yake ina mambo matatu.
1.chakula
2.mazoezi
3.dawa.
Katika uzi huu tutakua tukipeana habari na utaratibu wa tiba hizo mbili za mwanzo, ambazo ndio tiba pekee ambazo zinaweza kumfanya mtu aondokane katika hali ya kusumbuka kidogo na hali hizo tatu ambazo mala nyingi hufatana.
Na hata mtu kuwa nazo zote.
Je unafanya nini na ulikula nin leo, au unapanga kula nn leo?
Siku ya leo ulifanya kazi gani na kwa masaa mangapi? Au ulifanya zoezi gani?
HUU NI UZI WETU.
By Dr. Suriya