Wenye kujua brand za magari

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,321
Reaction score
7,501
Heri ya mwaka mpya #2021


Napendezwa sana na magari ya SUZUKI jinsi yalivyo kimuonekano, zaidi yanaonekana ni imara na yanaendana na Mazingira magumu japo sijawahi endesha gari za Suzuki.


Kwa kuwa nina mategemeo ya kumiliki Gari muda wowote ndani ya mwaka huu naombeni Ushauri wa kitaalam zaidi (ubora na changamoto zake ).

Zaidi nimekuja kwenu kwa kuwa naona si watu wengi wakiyanunua .

Inaweza kuwa hiyo hapo japo halitokuwa na rangi hiyo.

"Uzi TAYARI"
 
Hiyo Vitara 3rd generation huzioni nyingi kwasababu (1) CIF bei imechangamka sana na (2) Ushuru umechachamaa Mil 12 kwenda juu.

Ila ni Tank. Ukinunua hadi number HAA inafika.
Upo sahihi mkuu' jamaaa wanakomaa.balaa
 
Ungeanzish Uzi wako mkuu

Unawatoa watu kwenye Lengo la mada Yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…