TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Heri ya mwaka mpya #2021
Napendezwa sana na magari ya SUZUKI jinsi yalivyo kimuonekano, zaidi yanaonekana ni imara na yanaendana na Mazingira magumu japo sijawahi endesha gari za Suzuki.
Kwa kuwa nina mategemeo ya kumiliki Gari muda wowote ndani ya mwaka huu naombeni Ushauri wa kitaalam zaidi (ubora na changamoto zake ).
Zaidi nimekuja kwenu kwa kuwa naona si watu wengi wakiyanunua .
Inaweza kuwa hiyo hapo japo halitokuwa na rangi hiyo.
"Uzi TAYARI"