Anamaanisha hayo yaliyofanyika kemya cha mtoto, nchini kwao(uganda) kuna mjuba huyo kafanya yote waliofanya viongozi wa kenya pekee yake, haitoshi kauza ngozi na kamba yenyewe anaitafuna pia. [emoji23]
Ruto si ameishia kumkula ng'ombe, museven yeye kaishauza ngozi na sasa anatafuna kamba yenyewe [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni 1 army kubabake, show ya mtu mmoja.
Ila huku kwetu, wameshamkula ng'ombe, ngozi wameuza, kwato wameuza sasa wanatupaka sisi vinyesi vya marehemu ng'ombe [emoji23][emoji1787]