Wenye kujua kiingereza tafadhari mtafsilie hili ili ni comment kwa upande wa Tanzania

Nimeipenda hi, una akili ya kulinganyisha mambo......kwahiyo hatuwezi kufuga tena labda tuwafanyie kazi walio nunua mali zetu.
Ndo manake tuna jukum la kutimua watu kwanza na mikataba yao ya hovyo ili tufanye ya kwetu sasa vinginevyo tutakua tunawanyia wao tu.
 
Ni kipata tafsiri kamili ntaweza ku- comment kwa viongozi wa Tanzania huyu ngombe walimfanya je, baada mwl Nyerere.View attachment 3045027
Tafsiri yake inasema hivi:
Kenya kwa sasa maziwa ni mengi mno yamewashinda kunywa, wanatualika twende kuwasaidia kunywa Maziwa.
Wakati wa Moi yalikuwa kidogo, ila kwa sasa ni mengi mno yamewazidi nguvu,.... l.o.l.
 
Kwani mkuu wewe hujashuhudia awamu ya mkapa kikwete JPM na Mama sasa hivi, utupe conclusion ngombe wetu bado yupo na anatoa naziwa au kasha uzwa? Hukusoma comparative study?
Wewe uliweka ahadi, timiza ahadi yako na sisi tutaweka tunavyoona wenyewe.
 
Hukusoma comparative study?
Hili nalo ni somo la kwenda kupotezea muda juu yake?

Hizi shule ndiyo maana tumefikia hapa tulipo sasa! Watu wanakwenda shule kupoteza muda tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli wana tupaka kinyesi cha ngombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…