Wenye kutuma maudhui machafu mtandaoni nchini kukamatwa

Wenye kutuma maudhui machafu mtandaoni nchini kukamatwa

Nilishaacha kupakua x videos kitambo sana, sema TikTok na platforms nyingine ndo zinanirudisha nyuma. So huu uamuzi utanisaidia sana.
Tiktok ni za wadada na watoto wa kiume under 20. Tuanzie hapo kwanza ili uachane na tiktok
 
Dkt. Gwajima D fungieni mtandao wa Tiktok huu ni balaa jingine zaidi.
Kule watu wanakuwa live wakifanya mambo ya ajabu mfano tu kuna dada alikuwa live saa7 usiku anatoa no zake kwa wateja kuwa anauza kinyume na maumbile yake.Mbaya zaidi anawaonyesha namna atakavyokatika ukimpa 15k au50k mkatiko ni tofauti
Wangeanzana mtu kama gigy money ambae huposti vitu vya hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom