Mkuu dunia imeharibika usipende kuombaomba sana kwa usiwajua, ni heri upambane kivyakovyako. Mwaka jana nilipungukiwa 200 kwenye nauli nikaona kuliko kulialia kwa makonda ambao sio wastaarabu nikaamua nitembee tu, ilikuwa kutoka mbezi mwisho to mbezi shule via goba, halafu nilikuwa naumwa na mzigo na jana yake usiku nilikesha kupiga kazi fulani hivi.
Kufika mbezi shule nikachukua magari ya kwenda niishiko nilikuwa nadinzia huku nimesimama, hadi watu wakawa wananishangaa.
Dadeq, maisha haya๐๐๐๐