Wenye magari mnatufikiriaje sisi watembea kwa mguu?

Wenye magari mnatufikiriaje sisi watembea kwa mguu?

Kuendesha gari kuna gharama zake ambazo ni kubwa , napokuwa natoboka kwenye vipuri, oils, na fuel nakuwa mwenyewe,
Kwa hiyo sio lazima nimpe kila binadamu lift
 
Mkuu dunia imeharibika usipende kuombaomba sana kwa usiwajua, ni heri upambane kivyakovyako. Mwaka jana nilipungukiwa 200 kwenye nauli nikaona kuliko kulialia kwa makonda ambao sio wastaarabu nikaamua nitembee tu, ilikuwa kutoka mbezi mwisho to mbezi shule via goba, halafu nilikuwa naumwa na mzigo na jana yake usiku nilikesha kupiga kazi fulani hivi.
Kufika mbezi shule nikachukua magari ya kwenda niishiko nilikuwa nadinzia huku nimesimama, hadi watu wakawa wananishangaa.
Dadeq, maisha haya😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom