Wenye mahitaji ya kusajili Kampuni, Kuandaa Katiba ya kikundi, Business Plann n.k

Wenye mahitaji ya kusajili Kampuni, Kuandaa Katiba ya kikundi, Business Plann n.k

Mkuu, vipi kuhusu wale ambao hatuna hata senti moja ya kuanzia, maana unataja mtaji.

Nafikiri mtaji si lazima sana kama unataka kuandikia jina la biashara tu kule Brela na TIN number pale TRA au?

Namaanisha nataka kuandikisha tu biashara yangu lakini niwe na duka langu pale kitaa.
yeah yote yanawezekana na mtaji sio lazima uwe nao mkonon Bt Ni matarajio ya badae ya biashara yako, Bt kwa kusajil tuu jina la biashara 50 tuu
 
Back
Top Bottom