Mkuu, vipi kuhusu wale ambao hatuna hata senti moja ya kuanzia, maana unataja mtaji.
Nafikiri mtaji si lazima sana kama unataka kuandikia jina la biashara tu kule Brela na TIN number pale TRA au?
Namaanisha nataka kuandikisha tu biashara yangu lakini niwe na duka langu pale kitaa.