Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 227
- 393
Tutakuhostia bure kwenye hosting yetu!Vp kui hosting ? gharamazake inakuaje
Inakuwa na SSL? Na mwakani bei itakuwa hiyohiyo ama mabadiliko yatakuwepo?Tutakuhostia bure kwenye hosting yetu!
Ssl ya lifetime. Bei itakua hio hioInakuwa na SSL? Na mwakani bei itakuwa hiyohiyo ama mabadiliko yatakuwepo?