DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kwan unagawa ?[emoji23][emoji23][emoji23]aiseee mme wangu saivi anaficha dawaaa hatak nigawee ovyooo
Mabibo yenyewe labda ya mikorosho ya Dom.Umerud Zanzibar au bado weekend tukutane mabiboo
Ya kazi gani tena mawee jaman ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulikuwa tunamalizia kujenga kiwanda cha kusaga mawe hapo kwetu.
SawaaaaaKwaherini baadae kwenda kujenga viwanda...kwa udhamini wa
Jiwe
Kiranja wa malaika bila kumsahau
JJ kipenzi changu
Yameisha sina kinyongo kabisa moyo wangu mweupe [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ulweso ,,, Demiss anakuomba msamaha, umsamehe [emoji120]
Ya kujengea nyumba shemYa kazi gani tena mawee jaman ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ndo uvumilieee tu ulichelewa ukakuta mwana si wakoooTena sio wa nchi hii.
Nitakusubir mpaka ujeeSijarudi Jumapili ntakua Kigamboni.
Bahat nasibu hiyo nakwambiaaa unaweza kutana na shemaleBahat nasibu sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliwahi sema uliamua kunichomesha mahindi, halafu nikija nakuletea mafuta mazuri ya perfume kama zawadi.Sasa ndo uvumilieee tu ulichelewa ukakuta mwana si wakooo
Mahaba yotee umeyakosaaaa
Aiseeee nilkuwa sjui yan nashukuru yameishaaaYameisha maana nilikuwa nakimbia kila nimkutapo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji120]
Hatar sanaBahat nasibu hiyo nakwambiaaa unaweza kutana na shemale
Tusonge mbele maisha yaendelee wala usijaliNikumbushe basi jaman looooh
Kuna muda mashost nashindwa kuwauziaa kabisaaaaKwan unagawa ?
Si huwa unauza shem
Hahaha labda ni ndugu lakini hatujuani [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Wew na hajar sijui ni ndugu..mnamichango yakiheshima sana kwenye nyuzi tofaut
Weekend nakuwa kwa mme wanguuu sasa Dom wapi na wapiMabibo yenyewe labda ya mikorosho ya Dom.
Jifunze uwe unatengeza mwenyeweKuna muda mashost nashindwa kuwauziaa kabisaaaa
Ameamua kufichaaa
Sawa nakuletea na halua ya Wete Pemba.Nitakusubir mpaka ujee
Siku ikiisha nguvu unaumbuka laa ikizidi mnakuwa kama kumbikumbi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]bora nipambane tu, kuliko dawa
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] swaaafi sana maisha ni nyumbaaaaaYa kujengea nyumba shem