Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Mimi siwez tutaweka uzi watu wapendekezeee nan anafaaaUnaweza hio kaz ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwez tutaweka uzi watu wapendekezeee nan anafaaaUnaweza hio kaz ?
Hapana.Mlikiwa na michepukoo au?
Semaaa ukwelii hilo bata kweli bila michepukooHapana.
Inaonekana unajali sana,unajua kumlea mume na naamin shemej anafaidi mahabati matamu.[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5].Usijali, si unajua ukichanganywa na shemela kisha unasoma jujuu bila kuelewa unaropoka tu usijali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cha Mdeko occupation yako umezidi sasa mpaka na mimi shem wako naanza kupata wivu.
View attachment 734717
kumbe hapa kuna Riwaya ya kina Ngoswe na Mazoea,, na mzee Ngengemkeni Mitomingi [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16]Kwa taarifa yako, humu JF wapenzi wa kweli na wanaogegedana kweli wala hawajoinyeshi humu, ni mwendo wa "kimya kimya" tu. Ishu zao wanamaliza PM. Wanaoitana hapa baby sjui swirrie etc etc ni mbwembwe tu!
Wee mtu unatumia picha ya sura yangu please itoe haraka sanaKiukweli hapa nawakilisha KE/ME tulio hatuna viburudisho,, tunapata wivu pale mnapoanza kuoneshana mahaba ktk status zenu,, kiukweli tunabaki kujichekesha tu ktk status zenu,,, tupotupo tuu,,, yaaan
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Id yangu ya pili inaitwa Sakayo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimejikuta nacheka tu iliweje sasa jamani kuchezea watu kujifanya una babe kumbe ni ids zako
Few among many.Mbona kuna wengine wanaplay game tu...mtu ana id mbili,moja ya me na nyingine ya ke,anajitongoza mwenyew anajikubalia mwenyew na ile id ya ke.....maisha yanasonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kakufungulia robo tu ya mlango.hazard nakuona mbaba ktk ubora wako,, leo uminifumbua mimacho yangu
Unamzidi kumtesa.Poleee sana jaman kaka angu
Mrs Mshana jr
Ha ha ha ha...eti free header kama CR7 au Kluivert?mi siwezi mzee baba, nangojea kona yako nipige free header
Teh teh tehNan anataka kuzibiwa ridhiki wewe ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ha ha haumeona sasa, Demiss ameshaanza kumpaisha huyo jr, yaaaaaan
dah,,
Inapunguza maumivu.We jamaa ni una wivu tyu