Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
aiseeeeh, kumtoa nn? [emoji115]
 
ila hazard kwa nn hupigi pass fupifupi,? nataka zile kampa kampa tena, alafu nadriball kama natoa alafu ghafla nafinyia kwa ndani, au unamwogopa jollie
 
Kiukweli hapa nawakilisha KE/ME tulio hatuna viburudisho,, tunapata wivu pale mnapoanza kuoneshana mahaba ktk status zenu,, kiukweli tunabaki kujichekesha tu ktk status zenu,,, tupotupo tuu,,, yaaan

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kiongozi itoee hiyo picha kwenye profile yako ni yangu please mara nyingine tena
 
ila hazard kwa nn hupigi pass fupifupi,? nataka zile kampa kampa tena, alafu nadriball kama natoa alafu ghafla nafinyia kwa ndani, au unamwogopa jollie
Hii kauli ya jela inakuita ivi kumbe hua ipogo kiukweli ukweli ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…