Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Si ututaje tu looh[emoji23] [emoji23]wwngine wapo hapaaaaaa [emoji16] [emoji23] [emoji16]
Ebu pata picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseee
Labda chumaaa uletee tu ndo zinapatikanaUje na ndumba ya kuokota hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli hayaa???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] upweke ni mbaya sana yaniJamani jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida yote ya nini wanaume wamejaa
Karibu Shem Darling!!!!Asante shem mumu
labda anxho mzee babaVipi wewe una kiburudisho?
Mpaka nije kuizoea sio leo nimekujua bada ya kuniquoteAvatar mpya hiyo ... Swalehe kasema niweke hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tukinao kama zari sio mbaya sanaSiyo IST maneno yakooo tu alafu humu ni kama Biko unaweza kutongoza ukakutana na TUKiNAO hahhh
Upweke ukizidi kama hauna mbebez kumbatia mito[emoji23] [emoji23] upweke ni mbaya sana yani
kumbeeee wa kwanza ngoja nimlie timing[emoji23]Jiongeze wewe badala umtongoze huyo aliecomment wa kwanza unabaki unashangaa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] kidding
Heee!! Mme wangu unataka kumuuza shemeji yako?We vumilia pass inakuja mzee baba
Tuendeeleee kumsukuma hakuna namnaaa[emoji23] [emoji23] wanamsukumia
hongera wa ankra ankraNashukuru mungu me nilipata mchumba kabisa
C
Aaa ha ha ha eti eeehh!! [emoji15] [emoji15] [emoji15]Surely hakuna mahusiano yenye uhalisia jf .ni mchezo tu unachezwa na wataalam na kiukwl umefanikiwa kwan wamefanikiwa kukuaminisha kuwa wanakuwa na mahusiano ya mahaba ya kwl kumbe it,s just a game.
Picha yenyewe siiipati aseeEbu pata picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bibi kaenda kudanga anavyowajibu sasa madanga yakee oooh
[emoji3] [emoji3] thanks mkuuhongera wa ankra ankra
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani unalogin na id ya shunie unajiambia "i love u so much husband"
Unalogout afu unalogin na id ya Davet unajijibu "i love u too my wife shunie"[emoji23] [emoji23] [emoji23]