Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

[emoji10] kuna siku kwenye uzi 1 hivi umenijibu tusi baya sana, tena lakiluga halafu nakiijua ila poa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yawezekana tulipishana kauli mkuu jaman loooh hebu nisamehe tafasali

Usiwe na kinyongoo tena jaman [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom