Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Akimtaja uniiteShunie mbona hujamtaja mwenzie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akimtaja uniiteShunie mbona hujamtaja mwenzie?
Kuna mmoja namjua nasubiri siku ajichanganye kwa sababu anatumia device moja,unadhani upo na id ya ke kumbe umelog in na ile ya meHumu ndani shida sana, siku zikiunganishwa ndo utajua.
Kuna mmoja namjua nasubiri siku ajichanganye kwa sababu anatumia device moja,unadhani upo na id ya ke kumbe umelog in na ile ya me
Haki gani atiii jana ulipewaSawa bana.
Ngoja nijiandae kupata haki yangu hivi punde
AhhahahahhahahahahahahahKauli mbiu yetu inasema.
''Sitakuacha labda wewe uniache"
Ahhahahaha kwaninihaha uwe na mpenz kama sexless nakuhakishia lazma uende kwa kakobe ukaombewe kwa nuksi utakazopata
Sijui kalalaNimemuita aje kusoma hii nyuzi
Duuuuuh hatari hiiiiNitabaki kuwa Kasie Matata.
Mtata hatari hasa kwenye mahaba.
Ukiniletea motoo mie naumwagia majivu ili wote tupate joto.
Ukinipa mahaba utakula raha za Tanga.
Pamoja na matata yote... kuna Simba mmoja tuu ndo amefanikiwa kunipelekea moto, uzuri wake huwa namwambia ukweli wangu wote, ananijua fika na mie hata sihitaji kumjua akiwa mbali na upeo wangu anafanya nini na anafanya na nani....
Mahaba yake tuu vurugu vuruguu. .. uchokozi uchokoziii fujo fujoo basi.mie kwatuuu
Ukipita kusoma hapa Nyali, upokee busu lako matata Muah! !
Kalala maana si kwa shangwe zile za JanaSijui kalala
Hahahahahaha aiseee Jf raha sanHumu Mimi nimejigundulia kitu ili moyo wangu uwe kwatu nitengeneze id nyingine ya dem nitakuwa najijibu mwenyewe ili twende sawa nisije patwa na wivu usio kuwa na mpango
Siri hahahaa tangaza tu tumebwagana wanaomendea waonjeeeSasa unataka tukigombaana tutangaze nje kwamba tumegombana??
Mapenzi lazima yawe na siri.
DuuuuhUkiona mtu anajitangaza kuwa ana fedha mfano Dr Shika jua ana visenti tu vinapiga kelele mfukoni. Mwenye noti huwa zipo kimya. Ukiona hapa JF mtu anasema mpenzi wangu ni fulani member wa JF jua kuwa ni inferiority complex hiyo na hata k zinatolewa kwa mbinde! Ulaji wa k huwa kwa kificho na huwa wa hatari. K nzuri inaliwa gizani, jiulize kama unaweza kumuona mtu gizani.
Hahahaaha soma uzi vizuri
kwani utajijua kuwa una pretend?Siwezi ku-pretend mm..
Naomba huu ubuyu mpenziKuna mmoja namjua nasubiri siku ajichanganye kwa sababu anatumia device moja,unadhani upo na id ya ke kumbe umelog in na ile ya me
LazimaaaKalala maana si kwa shangwe zile za Jana