Wenye mahusiano yanayojulikana ndani ya JF wanapitiaga wakati mgumu sana

Unamwekaje mwenza hadharani wakati hata kwao/kwenu hajulikani? Wala mahali hujalipia, wala hufikirii kumuoa/kuolewa nae?

Unawezaje kukaa/kuwa na mahusiano yasiyo na afya, amani, furaha kisa watu watanionaje? Really?

My happiness is my first priority and not what people will say
 
Hivi unaanzaje kupretend jamani eti watanionaje jf wananijua mm mnuno unaendelea mpaka jf sinaga hizo mambo mm za kutaka kufurahisha wakina Fulani mfyuuuuu
Watu mapritenda ww achaaa...me nayaishi maisha yangu yanayonipa raha all i care is ma happiness...huwezi furahisha kila mtu kwanza utajifia mapema kabla ya siku,maisha yenyewe mafupi haya uhangaike na IDs fekelo[emoji23]mfyuuuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha yalivyo mafupi halafu matamu jamani kila mtu apambane tu na hali yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha yalivyo mafupi halafu matamu jamani kila mtu apambane tu na hali yake
Halla babe-gal[emoji23][emoji23]life is too short mwe!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…