Wenye majengo walipe wenyewe kodi ya jengo

Wenye majengo walipe wenyewe kodi ya jengo

Bunge lipi? Au hili la ndugu-yai na mzee Halima?
Bunge liliisha pale aliooondoka Makinda
Bunge lilikuwa la speed and standards (Samwel John Sitta) na Adam Sapi Mkwawa
1629395808581.png
 
Kwa mtindo huu akina Mwigulu wamejitengenezea njia ya kuweza kujijengea mijengo mingi ya kupangisha wakijua sisi tusio na uwezo tutawalipia kodi za majumba yao.
Anayejua hawa akina Mwigulu wanaolipiwa makazi, umeme, maji na watumishi wa nyumbani wao watalipaje hii kodi aje hapa aeleze.
 
Lakini hivi pia ni kwanamna gani watafahamu meter hii iko kwenye jengo lipi ambalo ikwatwe kiasi sahihi?
 
Back
Top Bottom