Kwa mtindo huu akina Mwigulu wamejitengenezea njia ya kuweza kujijengea mijengo mingi ya kupangisha wakijua sisi tusio na uwezo tutawalipia kodi za majumba yao.
Anayejua hawa akina Mwigulu wanaolipiwa makazi, umeme, maji na watumishi wa nyumbani wao watalipaje hii kodi aje hapa aeleze.