Wenye majina ya rose!

Mwambie Roya ninatibu Kisukari, Bigirita tayari :rip: wamemuwekea magogo
tokazako
roy wang haumwi kitu
yupo mzima mazima taslimu daima dawamu!!
mshndwe na mlegee wwewew na uyo mfalme wako (mfalme wa dig dig teamo)kwwa kumtakia ugonjwa roya wangu
 
dah, na wanaoitwa digidigi je? tutabia twao tukoje?

Vina kelele na usumbufu mwingi...ila havina madhara....ukivitishia kwa kupiga mguu chini vinakimbia kwa spidi ya mwanga....thats all...
 
Vina kelele na usumbufu mwingi...ila havina madhara....ukivitishia kwa kupiga mguu chini vinakimbia kwa spidi ya mwanga....thats all...
hao dawa yao ni kuwahamisha meza tu
 
heheheeeeeeeeeeee... hao ukienda states ndio wanaongoza kwa umbeya na poowwweeederrrr!!!

hayo majina mzee ni kama zena, sikitu na sikudhani

Kweli cousin hao kwa marekani ndio kiboko yao umbeya kwenda mbele na kuwabambikizia watu kesi za kuwa walibakwa ili mradi tu wapate chedaa
 
ma dear roy naomba niruhusu basi niende nikakutayarishie chakula basi...achana na ivi vidg dig ...uwai kurud nyumban
asi unajua vidig dig havianaga pakuwai..so visije vkakuchelewesha bure apa
..nkapike nin?ni pm plsssssssssssss dig dig wasije wakajua wwakapiga hod bure wakat tunakula manake kwa kudowea awa mweeeeeeee hawafai.......!!!!!!
 
ugali wa muhogo unawafaa sana wagonjwa wa vicukari
 
tokazako
roy wang haumwi kitu
yupo mzima mazima taslimu daima dawamu!!
mshndwe na mlegee wwewew na uyo mfalme wako (mfalme wa dig dig teamo)kwwa kumtakia ugonjwa roya wangu

Kama alivyolegea Roya
 
Hehehee.....
Watch out for a ban....i wasn't here!
Roger that... i didn't mean that way

Hivi wenye majina ya Acid, Kaizer, MJ1, RR na Asprin wakoje? what about Preta, FL1, Nyamayao, Smiles, ?
 
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....

Preta ni vigumu kuaminika......kuna thread moja ya mwanajamvi mwenzetu alikuwa anatafuta mchumba na akaorodhesha sifa husika.................ulidai zote unazo isipokuwa wewe ni mtafutaji wa mali jambo ambalo jamaa hakutaka wandani wake mtarajiwa awe............... sasa yawaje utuambie umo ndani ya ndoa kwa miaka 12?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…