Wenye majina ya rose!

Wenye majina ya rose!

Yani mnataka kusema mwanangu ni balaa? Maneno yako yashindwe na yalegee.hao akina lily unaowajua wewe ni wa kichina.Orijino ni watulivu,wapole,wemaa n.k
Pole mwaya nadhani hakujua ZD anamtoto anaitwa Liy:lying:
 
hata vyuoni ndio jina linalomegwa zaidi kuanzia na malecturer, wanafunzi, madereva texi, wachoma chips yaani we acha tu.
 
Uongo hauna dari ya kuuweka bali dari yake ni kaburi ndiyo maana unasahaulika kirahisi sn. jina si chanzo cha mtu kwa na tabia mbaya ila makundi ndiyo sababu kubwa na maisha pia husababisha mtu kufanya kinyume na jamii yake.
Mmenipata?
 
Shauri yako mie nkiulizwa ntasema ile siku ............ :rain::smile-big:

Theory hii yawezekana ikawa kweli kwa kiwango kikubwa. Nafikiri siku moja m2 ajitose afanye research. Nimesoma naye mmoja alikuwa balaa. Nadhani hakuna classmate asiyemkumbuka.
 
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....

Mmh ......mie nilifikiri wewe ni Preta, I was wrong.
 
Back
Top Bottom