Wenye mawasiliano na mshana jr tutoeni hofu

Wenye mawasiliano na mshana jr tutoeni hofu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wengi walikuepo na wakaondoka Kama vile wakina nokia83,faizafoxy,Masai dada na wengineo Wengi tu Ila wote hao hakuna anayefikia viwango vya Mshana linapokuja suala la utu na uvumilivu hivyo ni wazi JF itazidi kupoa bila ya huyu mwamba hatutajiskia amani tena maana ye ndo Kama msimamizi wetu sisi na hasa Mimi Ni kifaranga wa Mshana Jr.

Sasa asipokuwepo nini kinafuata mnadhani na mimi naikimbia hii ID msishangae sipatikani tena..Jf hainogi bila Mshana miaka Mia nane nikiamua nitafanya mgomo wa kimya kimya nitarudi Mshana akirudi.

#bring back our mshana#
#mshana says matter#
 
Mshana yuko zake busy na wateja kilingeni anamake dough for holidays. Ila kweli sijamuona huyu witch doctor kitambo😘
 
Mwisho wa mwaka huu,

Yuko anawatengeneza watu, wauanze mwaka 2021 vizuri
 
Mshana naomba umtokee mleta mada usiku wa leo
 
Back
Top Bottom