Wenye mawasiliano na mshana jr tutoeni hofu

Baada ya kumpiga kitu cha ubumbuwazi yule naibu waziri wa madini nadhani muda si mrefu atarejea jukwaani. Mission accomplished
 
Hivi kwanini watu wanapenda kumuhusisha Mshana Jr na uganga wa kienyeji???
Kinamponza ufahamu wake ( consciousin-mind) au ni kweli hizi tuhuma, (anafanya uganga?) japo natambua kuna theory ukiwafundisha watu watakugeuka na kukuita mwanga kwa kuwa walishakalilishwa kila kitu ni uchawi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wananionea saana
 
Back
Top Bottom