Wengi walikuepo na wakaondoka Kama vile wakina nokia83,faizafoxy,Masai dada na wengineo Wengi tu Ila wote hao hakuna anayefikia viwango vya Mshana linapokuja suala la utu na uvumilivu hivyo ni wazi JF itazidi kupoa bila ya huyu mwamba hatutajiskia amani tena maana ye ndo Kama msimamizi wetu sisi na hasa Mimi Ni kifaranga wa Mshana Jr.
Sasa asipokuwepo nini kinafuata mnadhani na mimi naikimbia hii ID msishangae sipatikani tena..Jf hainogi bila Mshana miaka Mia nane nikiamua nitafanya mgomo wa kimya kimya nitarudi Mshana akirudi.
#bring back our mshana#
#mshana says matter#