BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Dogo mshamba sanaWe nae kila siku thread za mshana watu wanakujibu yupo na jf anaingia angalia last seen yake mbona kawaida tu kupotea jf ukiwa busy na mambo yako
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Wasiojulikana nini wamemchukua?
Nipo kaka.Mkuu upo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wananionea saanaHivi kwanini watu wanapenda kumuhusisha Mshana Jr na uganga wa kienyeji???
Kinamponza ufahamu wake ( consciousin-mind) au ni kweli hizi tuhuma, (anafanya uganga?) japo natambua kuna theory ukiwafundisha watu watakugeuka na kukuita mwanga kwa kuwa walishakalilishwa kila kitu ni uchawi.