Na watakuwekea mikwara mingi wakati wanatafuta wawekezaji. Nime Ona katika nchi za magharibi watu waliochangia state pension na private pension baada ya kustaafu wanaishi vizuri.Wazo zuri lakini Bashite atakubali kweli watu binafsi waanzishe kampuni za pensions?
Na hapo ndipo penye shida. Huku nje waweza ona mambo mengi tu ambayo ukiyaleta hom yanaweza kukuza uchumi na kuondoa umaskini kwa kasi kabisa na kuleta unafuu kwa watu. Shida ni kwamba sheria zetu zipo "too restrictive" na haziko "supportive" hata kidogo.Na watakuwekea mikwara mingi wakati wanatafuta wawekezaji. Nime Ona katika nchi za magharibi watu waliochangia state pension na private pension baada ya kustaafu wanaishi vizuri.
Mkuu,Wazo la kuwa na kampuni ya private pension, wanachama wanapata malipo yao mara baada ya kustaafu.
Kushawish waajiriwa na wafanyabiashara kujiunga. Hata wale wenye pension kwenye mifuko mengine wanaweza kujiunga. Kwakuwa hii kampuni mpya pesa unapata mara tu ikiwa kulisha maombi, wakati unasubiri NSSF unakamata milioni zako kadhaa.
Inaweza kupitishwa kama mtamuahidi mkubwa mmoja hisa kwenye kampuni. Afrika mimi kwanza iko kila mahali. Kama wabunge wa kijani waliweza kupitisha sheria ya mitandao ya kijamii kwa milioni 10.Mkuu,
Haya Mashirika huanzishwa kwa sheria ya Bunge. Wale wabunge waliopitisha mstaafu kulipwa only 25% kwanza wakati wao Wabunge hubeba 100% at per sijui kama wataipitisha hii kitu ikifika kwao.
Wamekua muhuri wa kupitisha yasiyowapendeza Wananchi kisa tu Chama kimeamua, Ubinafsi ulioje sababu tu wao hawaguswi.
Wazo zuri lakini kwa bahati mbaya watawala hawawezi kuruhusu hilo litokee.Wazo la kuwa na kampuni ya private pension, wanachama wanapata malipo yao mara baada ya kustaafu.
Kushawish waajiriwa na wafanyabiashara kujiunga. Hata wale wenye pension kwenye mifuko mengine wanaweza kujiunga. Kwakuwa hii kampuni mpya pesa unapata mara tu ikiwa kulisha maombi, wakati unasubiri NSSF unakamata milioni zako kadhaa.
Hivi Magufuli,watumishi wa umma walimkosea nini? Ikumbukwe yeye pia aliwahi kuwa mtumishi wa umma
Financial Services Tanzania bado zipo kiholela sana kiasi kwamba inakuwa vigumu kwa watu binafsi kuwekeza kwenye financing. Technology bado hazipo up to date kivile, bado tupo nyuma sana almost Africa nzima bado technologies za financing hazipo well distributed kutuwezesha kuwa kwenye financing bussiness.Wazo zuri lakini halitekelezeki kirahisi.
Kumbuka sasa hivi wanataka BoT wasimamie vyama vyote vya kuweka na kukopa.
Hivi karibuni wameamua kuunganisha mifuko ya jamii ya mafao, sifikirii wataruhusu watu binafsi kufungua mifuko mipya.
Hata hivyo watanzania wengi hatuna utaratibu wa kujiwekea akiba. Ukikuta mtu amejiunga na saccos, analenga kukopa na sio kuweka akiba.
Mpaka sasa bado ni mtumishi wa Umma,ni kiburi tu cha madaraka.Hivi Magufuli,watumishi wa umma walimkosea nini? Ikumbukwe yeye pia aliwahi kuwa mtumishi wa umma
Mifuko ya Pensheni za serikali ni lazima. Nchi zote duniani.Wazo lako ni zuri mama, ila usisahau kuwa hizi kampuni zipo kwa mujibu wa sheria na kanuni ambazo unazitaka kufuata utaratibu wa aina moja......
Najua umeamua kubuni huo utaratibu kulingana na uhitaji uliopo kwa sasa.......ila ukweli ni kwamba haitawezekana maana sheria zilizopo hazitakuruhusua kuthubutu kufanya hivyo, maana nadhani unajua ikitokea hivyo tafasiri yke ni kuwa nchi nzima wafanya kazi watahamia kwenye huo mfuko na kuacha iliyopo ambayo inaendeshwa kwa utaratibu wa sasa unaokizana na unachosema......
Financial Services Tanzania bado zipo kiholela sana kiasi kwamba inakuwa vigumu kwa watu binafsi kuwekeza kwenye financing. Technology bado hazipo up to date kivile, bado tupo nyuma sana almost Africa nzima bado technologies za financing hazipo well distributed kutuwezesha kuwa kwenye financing bussiness.
Finance inatawaliwa sana na sheria za kimataifa na sheria za nchi zilizoendelea. hela nying zinazotembea Africa hasa nchi zetu, siyo hela rasmi. Zipo kimchezomchezo.
Sasa kama Micro-finance ilivyokuwa shaghalabaghala , kweli mlitaka BOT isi-control microfinance?
Micro-financing ikirasimishwa itaongeza mpaka GDP yetu kwa wingi sana (lazima tuta rebase in a little while) kwa sababu sekta hii haikuwa rasmi kihvyo na ilikuwa inawanyonya wananchi na pesa nyingi zilizokuwa zinatembea zilikuwa chafu.
Ili tuwe included in Global Finance, lazima cha kwanza kabisa ni kurasimisha mzunguko wetu wa fedha. lazima tuwe na records.
Vitu vingine ni technocrats ndiyo huvianzisha. Siyo makada wa CCM. Vitu vingine tuwe tunavifanyia utafiti kabla ya kulalamika.