Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wazo la kuwa na kampuni ya private pension, wanachama wanapata malipo yao mara baada ya kustaafu.
Kushawish waajiriwa na wafanyabiashara kujiunga. Hata wale wenye pension kwenye mifuko mengine wanaweza kujiunga. Kwakuwa hii kampuni mpya pesa unapata mara tu ikiwa kulisha maombi, wakati unasubiri NSSF unakamata milioni zako kadhaa.