Unaongea kama unajua kwa hakika kesho itakuwaje.
Samia alijikuta raisi wa JMTZ ghafla bila kutegemea.
Anaweza asife mtu na ikatokea 'kajiuzulu' kaachia kiti huyo mtu.
Au
God forbid, yasiyo fikirika mfano machafuko yakatokea akalazimishwa kuondoka madarakani.