Elythrobacter
Member
- Sep 29, 2020
- 47
- 94
Katika aya ya pili umesema kuwa 'wanataka kutuziba masikio tusisikie ukweli unaosemwa'
je ukweli unasemwa au unaonekana?
Kama unasemwa tu na baadhi ya watu ambao wanajaribu kujitetea kutokana na hali ya maisha iliyopo basi upo sahihi.
Lakini ninanchoweza kusema ni kwamba ukweli wa hali ya mbaya maisha ndiyo ukweli unaoonekana na siyo ukweli unaosemwa na hao unaowasikiliza bila kuhusisha akili yako.