Unajengaje Uchumi wa watu wakati unawaibia hela zao za nyongeza za Mishahara? Hili ni takwa la Kisheria siyo hiyari ya Kihutu
Unajengaje Uchumi wa Watu kwenda Kujenga Uwanja wa Ndege kijijini kwenu, akajenga mtozi mwenzio, na hela akalipa Mtoto wa Dada yako? This is a serious conflict Of interest, tutamnyoosha huko mbele ya Safari, hakuna marefu yasiyo na ncha...na KUMBUKA MCHUMA JANGA HULA NA WANAWE!