Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Implications au sio🤣🤣🤣 hii nayo ni mjadala kwa sababu inawezekana ikawa ni hisia zenye muktadha wa fedhehaTatizo ni uhusiano alionao na huyo mchepuko wake.
Hukawahi kusikia mke anamuua mume kisa mchepuko, anaanza dharau, anauza mali za familia , magonjwa nk.
Matokeo baada ya lile tendo ndo tatizo.
Na mbaya zaidi hata baada ya kusamehena hakuna amani, mana every time, jambo ulotendewa lina pop up,And, If by any chance we could held each other accountable, upuuzi ungepungua duniani.
Kusameheana kila siku kunaongeza upuuzi.
jambo lingine linalofanya watu wasamehe, unakuta wife kachepuka, ila kwa upande wako ushafumaniwa mara kibao, au haujawahi kufumaniwa ila mtaani huko una michepuka hata miwili mitatu wife hajui. nafsi inakusuta kwamba wewe na yeye hamna tofauti wote wadhambi tu. ila kwa yule mwaminifu, akichapiwa damu lazima imwagike.Msaliti hasamehewi. Awe mke/ mpenz au partner wa kibiashara.
Yesu Kristo hakumsamehe msaliti Yuda Iscariot, kwanini mimi nimsamehe msaliti?
Inahitaji mjadala wa kipekee kukataa kusameheMsaliti hasamehewi. Awe mke/ mpenz au partner wa kibiashara.
Yesu Kristo hakumsamehe msaliti Yuda Iscariot, kwanini mimi nimsamehe msaliti?
amekaa kwenye mahusiano tena wengine wameishi pamoja na mwanaume mwengine miaka 7, wewe umeoa umeishi naye miaka 2 na una wiiivu kumbe wapo wanaume wamechezea sana hizo miaka mingi zaidi yako.Aaah the fuct that mwanaume mwengine amechezea nyeti zake hapo tayari ni mabadiliko,
Acha masikhara yahee
It requires self assessment on the same, fair is dual sidedNa mbaya zaidi hata baada ya kusamehena hakuna amani, mana every time, jambo ulotendewa lina pop up,
May God forbid but for me, i won't tolerate it anyhow.
Kwani hapo umesalitiwa niniMsaliti hasamehewi. Awe mke/ mpenz au partner wa kibiashara.
Yesu Kristo hakumsamehe msaliti Yuda Iscariot, kwanini mimi nimsamehe msaliti?
Sasa hiyo ni historia, ametembea nao akiwa hayuko kwako, hukua na haki nae,amekaa kwenye mahusiano tena wengine wameishi pamoja na mwanaume mwengine miaka 7, wewe umeoa umeishi naye miaka 2 na una wiiivu kumbe wapo wanaume wamechezea sana hizo miaka mingi zaidi yako.
Just like a man's dick to other women 🤣🤣🤣amekaa kwenye mahusiano tena wengine wameishi pamoja na mwanaume mwengine miaka 7, wewe umeoa umeishi naye miaka 2 na una wiiivu kumbe wapo wanaume wamechezea sana hizo miaka mingi zaidi yako.
Ndo kiti cha enzi cha upendoWivu ni neno linalowasumbua sana watu
Yeah very interesting argumentjambo lingine linalofanya watu wasamehe, unakuta wife kachepuka, ila kwa upande wako ushafumaniwa mara kibao, au haujawahi kufumaniwa ila mtaani huko una michepuka hata miwili mitatu wife hajui. nafsi inakusuta kwamba wewe na yeye hamna tofauti wote wadhambi tu. ila kwa yule mwaminifu, akichapiwa damu lazima imwagike.
nakumbuka chuo kuna jamaa aliishi na mwanafunzi mwenzie kinyumba miaka yote 3, alipomaliza akaachana naye, best friend wake akamchukua yule aliyeachwa akaoa kabiwa. jamaa huyu wa pili alikuwa na moyo kwasababu alikuwa anakuja kumtembelea jamaa yake sometimes anajua jamaa anamla huyo mwanamke aliyekuja kumuoa. kumbe ile kitu huwa haibadiliki, kinachobadilika ni moyo tu. wala haina haja ya kufanya maamuzi magumu kama atakubali kubadili tabia.Just like a man's dick to other women 🤣🤣🤣
Huu ni ukweli mtupu, unajua kuna nyuzi humu zinasema Mwanamke anayechepuka aweza kukuua, lakini vijijini unakuta Hali kama uloielezea.wachache sana, na wengi wapo vijijini, na ni watu wenye hali ngumu kipesa. ila humu mjini hayupo hata mmoja. kuna baadhi ya vijiji huko, mke anahamia kwa mwanaume afu mumewe anaenda kwa balozi akamsaidie amchukue mkewe arudi naye home. wengine akifumania anahitaji pesa kadhaa mambo yameisha. ila ukiangalia kwa undani utakuta shida sio uwezo kusamehe, ni kipato.
But it's done at discretion individually or by consent upon convincingAnd, If by any chance we could held each other accountable, upuuzi ungepungua duniani.
Kusameheana kila siku kunaongeza upuuzi.
kama hujui, uke una thamani kuliko uume. kuuona uke ni jambo baya kuliko kuuona uume. that's natural.Umehitimsha na ego ambayo ni madhaifu Yako tu kwani wao hawana imagination ya uume wako? giving and receiving subscribe to sharing.
Balance vitu, angalia Binti heshima yake kabla hajalala na mwanaume na Kisha baada ya kutoka nae kingono kama heshima inabaki ni ileile ndio utaelewa, aibu ni aibu tu, imagination haina faida you assume you see something that you don't see , sex haina umwamba wala ubora labda katika dhana ya fikra za unyanikama hujui, uke una thamani kuliko uume. kuuona uke ni jambo baya kuliko kuuona uume. that's natural.
unajifariji tu. ndio maana Mungu alituumba kwamba tulale na wale tuliowaoa tu ili aibu zetu zibaki kwenye ndoa tu. ukilala na yeyote ni kinyume na maagizo ya Mungu na ndio maana imaginations zinabaki kwasababu umejianika kwa mtu siye.Balance vitu, angalia Binti heshima yake kabla hajalala na mwanaume na Kisha baada ya kutoka nae kingono kama heshima inabaki ni ileile ndio utaelewa, aibu ni aibu tu, imagination haina faida you assume you see something that you don't see , sex haina umwamba wala ubora labda katika dhana ya fikra za unyani
kama pisi kali inatoa smell chonganishi naisamehe apoapo na kumkabidhi mgoni wangu niliemsubiri kwa muda mrefu kunipokea mzoga ili kusudi nae akapambane nao. na i hope ntakua nimetima hekima na busara .....Kama mwanadamu sina tofauti na wengine wote. Mwaka huu wa 2023 nimekutana na hadithi nzuri sana zenye kujenga japo ni visa vya kusikitisha sana, kisa cha kwanza jamaa kanihadithia namna alivyomfumania mke wake akinyanduana na mjomba wake ambae ni kaka wa Mama yake mzazi. Aliwakuta live akaita mashahidi wakashudia na hakufanya chochote si kupiga si maneno. Huyu mhanga kwa maelezo yake anasema nguvu na upeo wa kuhimili vimetokana na Shule na nasaha kutoka kwa Babu mzaa baba yake.
Kisa cha pili huyu Mwamba mkewe amenyanduana na baba yake mdogo nae kawakuta live, Cha ajabu huyu wa pili aliwaomba radhi kwa aibu Ile nae pia alikuwa na mashuhuda kadhaa.
Baada ya kukaa na hawa rafiki zangu wote nyakati tofauti na kupata hadithi hizi mbili nimejifunza mengi mengi sana.
Mbususu isiwe sehemu ya chanzo cha kukosa amani, kugombana na watu bali kubali ya kwamba mbususu ni sehemu ya starehe zenye ushirika katika starehe za wanadamu.
Sio rahisi sana ila ukipata msingi wa maarifa ya umuhimu wa ujinga na upumbavu katika kuishi maisha ya hapa Duniani ni rahisi sana kubeba hizi nguzo mbili. Ujinga na upumbavu.
Busara na hekima ni nguzo za ujinga na upumbavu wenye heri na baraka katika maisha yetu.
Nuru iliyo njema ni lishe ya nafsi na moyo thabiti.
Shukrani
Wadiz