siwezi kujustify cheating, ni dhambi. ninachojaribu kuwaelewesha ni kwamba, msamaha ni wa muhimu ikitokea, samehe saba mara sabini, kwasababu mwili ni ule ule, roho tu imepoteza trust ila mwili unabaki uleule tu. kutengana siku zote huwa kunaleta madhara kwa pande zote mbili, mtendaji na mtendewa na watoto na hata mali mlizochuma. ukifikiria hayo na hasa ikizingatia kwamba na wewe ushacheat, unaamua kusamehe na kukubaliana kutorudia kwasababu hakijabadilika kitu kwenye mwili wa mwanamke wako, uchi ni ule ule tu haujaondoka.
nadhani hii ndio inawafanya baadhi ya watu wenye wivu uliofika chuo kikuu wafe mapema. wengine hawataki hata daktari tu wa kiume ahudumie mkewe, kwenye uchi ambao hakuukuta bikra. ajabu sana.