Wenye nguvu ya kupotezea kuchapiwa ni wachache na hao ndio wanaume

You are trying to make peace with this, ni kitu kizuri ila elewa kuwa you deserve better, acha kujustfy cheating.... Elewa wanawake wengi wanacheat kwa mapenzi kwahiyo if it is recurring then she is not yours.
 
You are trying to make peace with this, ni kitu kizuri ila elewa kuwa you deserve better, acha kujustfy cheating.... Elewa wanawake wengi wanacheat kwa mapenzi kwahiyo ifit is recurring then she is not yours.
siwezi kujustify cheating, ni dhambi. ninachojaribu kuwaelewesha ni kwamba, msamaha ni wa muhimu ikitokea, samehe saba mara sabini, kwasababu mwili ni ule ule, roho tu imepoteza trust ila mwili unabaki uleule tu. kutengana siku zote huwa kunaleta madhara kwa pande zote mbili, mtendaji na mtendewa na watoto na hata mali mlizochuma. ukifikiria hayo na hasa ikizingatia kwamba na wewe ushacheat, unaamua kusamehe na kukubaliana kutorudia kwasababu hakijabadilika kitu kwenye mwili wa mwanamke wako, uchi ni ule ule tu haujaondoka.

nadhani hii ndio inawafanya baadhi ya watu wenye wivu uliofika chuo kikuu wafe mapema. wengine hawataki hata daktari tu wa kiume ahudumie mkewe, kwenye uchi ambao hakuukuta bikra. ajabu sana.
 
Nakupongeza sana kwa kuilinda amani mkuu, iwe funzo kwa wengine kwa hili andiko
Ila kaa upande wangu sitoweza kuvumilia, burudani na stare ziko barabaran si nyumbani kwangu, yaan niangaike kumtunza, arafu sho anakuja kumega kimasihala
Amani haitakuwepo
 
Ukiona mume kammsamehe mke wake mchepukaji Hapo kuna mawili either mume hana nguvu za kiume au hana hela
Ila hiyo ya kwanza ndio zaidi
 
Mkuu mada yako ni nzuri sana inahitaji ukomavu wa mwili na akili sana, kwa mwanaume ukifika level hii hakuna jambo litalokuwa gumu kwako, Mimi ni mmoja kati ya wanaume waliofika level hii, sitasumbua akili wala mwili wangu kisa mwanamke amechapwa nje huu ujinga sitafanya mpaka naingia kaburini.
 
simpigi, simuulizi wala sitomfokea ila nitamuacha...

kuna makosa kwenye mahusiano, ukisamehe hata yule mkosaji anakushangaa....
 
Mwanaume hamuachi a cheating woman kwasababu ya mwili wake bali ni kwasababu ya heshima (respect). Mwanamke akikosa upendo hukimbia na mwanaume akikosa kuheshimiwe huondoka. You can never those natural characters between the two sexes.
 
huu mtego mimi mnitoe
 
mkuu, acha kunipotezea wateja wangu wa mapanga yaliyoNOLEWA,...
 
Nashukuru kwamba mleta mada naye ni miongoni mwa hao anaodhania kwamba sio wanaume. Maana hakuna sehemu aliyoonesha kwamba anaweza kuhimili
 
Kanuni Yangu Kwenye issue za usaliti nikikufuma au nikiwa na ushahidi wa wazi.

1. Siulizi kwanini
2. Naaacha kukushobokea
3. Mapenzi na ww ndo yameishia hapo
4. Kama ni ndoa na process divorce.

NB: Hata mwanamke akinifumania, Utaratibu ni huo hapo, siombi msamaha wala sitaki kusamehewa
 
Hii nimeipenda chief.
 
Waebrania 13
4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
 
Kukubali kuendelea kuishi na mwanamke asiyekuheshimu na asiye muadilifu ni Udhaifu.

Acheni kujifariji, Nyinyi ni Weak Men.
 
Mathayo 5
31 Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;

32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…