Pre GE2025 Wenye nia za kugombea Ubunge na udiwani ndani ya CHADEMA wako njia panda, wajipanga kutafuta fursa hiyo vyama vingine vya siasa nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anaandika bila takwimu wala authority yyte. Kinachomjia ni habari ili mradi pawe na neno CHADEMA.
Ajiulize walipo kina etwege
gentleman,
takwimu za nini hali ya kua hiyo ni miongni mwa nonsense no reform no elections?

wakubebwa ufala na vibaka wa siasa Tz waliisha πŸ’
 
Mtu yeyote mpumbavu huongea bila TAKWIMU. Tangu asubuhi umepandisha mbo mengi sana ya kijinga a uzushi bila takwimu zozote. Bado hujathibitisha kufeli kwa walimu wwasio na ajora unapandisha ujuha mwingine
Gentleman,
mie sibabaiki kulazimisha uamini ninachoibua, wala sikulazimishi utatapeliwa pesa na vibaka wa siasa Tz,

but kwa wakati muafaka utafili hizi athari kisha ndipo uanze kujihesabu kumbe nawe ni takwimu πŸ’
 
nah this ain't hip hop gentleman, ume kaa ki shangingi tu
gentleman,
hayo ni mambo yenu hata sijui yanahisu nini,

sisi wengine ndo hivyo tena hardcore tangu kitambo, ni kumwaga ukweli tu bila kujali mihemko au makasiriko ya yeyote πŸ’
 
Gentleman,
mie sibabaiki kulazimisha uamini ninachoibua, wala sikulazimishi utatapeliwa pesa na vibaka wa siasa Tz,

but kwa wakati muafaka utafili hizi athari kisha ndipo uanze kujihesabu kumbe nawe ni takwimu πŸ’
Said mtanda alipata GPA ya ngapi pale UDSM ? Aliajiriwa mwalimu bagamoyo sec. Leo ni nani.
Embu acha kuongea na kuandika ujinga waako kuhusu Professional za watu.mwehu wewe. Badala ya kusema ccm imeshindwa kuwapa walimu ajira unaanza kuandika ujuha wako hapa.
Serikalini watu wanaajiriwa kwa GPA???
 
mim sio akili ndogo kudeal na mtu binafsi gentleman,

jukumu langu ni kudeal na masuala muhimu mazito kwa ujumla, yenye maslahi mapema kwa Taifa.

umbea na ubuyu malizeni huko huko gentleman πŸ’
 
mim sio akili ndogo kudeal na mtu binafsi gentleman,

jukumu langu ni kudeal na masuala muhimu mazito kwa ujumla, yenye maslahi mapema kwa Taifa.

umbea na ubuyu malizeni huko huko gentleman πŸ’
Hujui lolote wewe. Unajambo gani la kitaifa una deal nalo wewe zaidi ya umbra??? Unajua maana ya GPA? Unajua maana ya standing orders? Unajua chochote kuhusu Tanzania public service Act? Ni lini na wapi pameandikwa kigezo cha kufaulu kwa mwalimu? Kama wewe siyo mzushi na mwimba taarabu ( chawa) bainisha hpa
 
Gentleman,
ni kweli sijui lolote kuhusu mambo binafsi ya watu kwasabb sina muda nao kabisaa,

unahamisha magoli sio gentleman,
yaani wadau waache kujadili hoja mahususi mezani, wababaike na vitu ambavyo inafaa uvianzishie uzi?

hata hivyo,
surely unaniuliza mambo ambayo ninatunga na kuyapitisha kua sheria? Kweli? acha dharau bas πŸ’
 
Mtoa hoja ni haki yake, anapambania ugali wake.
chadema ambao wamegoma kutapeliwa pesa, uhuru na haki ya kuchaguliwa na kupiga kura, na vibaka wa siasa, wameanza kuchukua hatua moja kwenda mbele πŸ’
 
chadema ambao wamegoma kutapeliwa pesa, uhuru na haki ya kuchaguliwa na kupiga kura, na vibaka wa siasa, wameanza kuchukua hatua moja kwenda mbele πŸ’
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜€ badilisheni katiba, muweke tumehuru ya uchaguzi murudi hapa kusifia sia tuone mbivu na mbichi.
 
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜€ badilisheni katiba, muweke tumehuru ya uchaguzi murudi hapa kusifia sia tuone mbivu na mbichi.
vibaka na matepeli wa siasa wabadilishe ya kwao maana walilalamika sana ni mbovu πŸ’
 
Chama kitawafia Hawa vibaka na matapeli wa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…