Pre GE2025 Wenye nia za kugombea Ubunge na udiwani ndani ya CHADEMA wako njia panda, wajipanga kutafuta fursa hiyo vyama vingine vya siasa nchini

Pre GE2025 Wenye nia za kugombea Ubunge na udiwani ndani ya CHADEMA wako njia panda, wajipanga kutafuta fursa hiyo vyama vingine vya siasa nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anaandika bila takwimu wala authority yyte. Kinachomjia ni habari ili mradi pawe na neno CHADEMA.
Ajiulize walipo kina etwege
gentleman,
takwimu za nini hali ya kua hiyo ni miongni mwa nonsense no reform no elections?

wakubebwa ufala na vibaka wa siasa Tz waliisha 🐒
 
Mtu yeyote mpumbavu huongea bila TAKWIMU. Tangu asubuhi umepandisha mbo mengi sana ya kijinga a uzushi bila takwimu zozote. Bado hujathibitisha kufeli kwa walimu wwasio na ajora unapandisha ujuha mwingine
Gentleman,
mie sibabaiki kulazimisha uamini ninachoibua, wala sikulazimishi utatapeliwa pesa na vibaka wa siasa Tz,

but kwa wakati muafaka utafili hizi athari kisha ndipo uanze kujihesabu kumbe nawe ni takwimu 🐒
 
nah this ain't hip hop gentleman, ume kaa ki shangingi tu
gentleman,
hayo ni mambo yenu hata sijui yanahisu nini,

sisi wengine ndo hivyo tena hardcore tangu kitambo, ni kumwaga ukweli tu bila kujali mihemko au makasiriko ya yeyote 🐒
 
Gentleman,
mie sibabaiki kulazimisha uamini ninachoibua, wala sikulazimishi utatapeliwa pesa na vibaka wa siasa Tz,

but kwa wakati muafaka utafili hizi athari kisha ndipo uanze kujihesabu kumbe nawe ni takwimu 🐒
Said mtanda alipata GPA ya ngapi pale UDSM ? Aliajiriwa mwalimu bagamoyo sec. Leo ni nani.
Embu acha kuongea na kuandika ujinga waako kuhusu Professional za watu.mwehu wewe. Badala ya kusema ccm imeshindwa kuwapa walimu ajira unaanza kuandika ujuha wako hapa.
Serikalini watu wanaajiriwa kwa GPA???
 
mim sio akili ndogo kudeal na mtu binafsi gentleman,

jukumu langu ni kudeal na masuala muhimu mazito kwa ujumla, yenye maslahi mapema kwa Taifa.

umbea na ubuyu malizeni huko huko gentleman 🐒
 
mim sio akili ndogo kudeal na mtu binafsi gentleman,

jukumu langu ni kudeal na masuala muhimu mazito kwa ujumla, yenye maslahi mapema kwa Taifa.

umbea na ubuyu malizeni huko huko gentleman 🐒
Hujui lolote wewe. Unajambo gani la kitaifa una deal nalo wewe zaidi ya umbra??? Unajua maana ya GPA? Unajua maana ya standing orders? Unajua chochote kuhusu Tanzania public service Act? Ni lini na wapi pameandikwa kigezo cha kufaulu kwa mwalimu? Kama wewe siyo mzushi na mwimba taarabu ( chawa) bainisha hpa
 
ni kweli sijui lolote kuhusu mambo binafsi ya watu kwasabb sina muda nao kabisaa,

unahamisha magoli sio gentleman,
yaani wadau waache kujadili hoja mahususi mezani, wababaike na vitu ambavyo inafaa uvianzishie uzi?

hata hivyo,
surely unaniuliza mambo ambayo ninatunga na kuyapitisha kua sheria? Kweli? acha dharau bas 🐒
 
Mtoa hoja ni haki yake, anapambania ugali wake.
chadema ambao wamegoma kutapeliwa pesa, uhuru na haki ya kuchaguliwa na kupiga kura, na vibaka wa siasa, wameanza kuchukua hatua moja kwenda mbele 🐒
 
chadema ambao wamegoma kutapeliwa pesa, uhuru na haki ya kuchaguliwa na kupiga kura, na vibaka wa siasa, wameanza kuchukua hatua moja kwenda mbele 🐒
😀😁😀 badilisheni katiba, muweke tumehuru ya uchaguzi murudi hapa kusifia sia tuone mbivu na mbichi.
 
Hali hiyo imetokana na chama hicho kujikita zaidi kutafuta pesa za matumizi ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa mgongo wa matumizi ya chama na kuhamasisha wananchi kutokushiriki uchaguzi mkuu huo wa kikatiba October mwaka huu 2025, mpaka pale matakwa ya chama hicho yatakapotimizwa.

Wengi wao wamekatishwa tamaa na hali hiyo na wameona kwakua chama hicho hakitashiriki uchaguzi huo wa October, ni vyema wakatafuta fursa hiyo kwenye vyama vingine, ili hatimae kutimiza azma, nia na ndoto zao za kikatiba kupata fursa za kua viongozi na wawakilishi wa wananchi maeneo mbalimbali nchini kwa Neema na Baraka za Mungu.

Hiyo ni miongni mwa athari za mwanzo kabisaa za nonsense ya no reform no elections ya chadema.

Je,
watia nia hao wataondoka wenyewe au wataondoka na watu ndani ya chadema?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chama kitawafia Hawa vibaka na matapeli wa kisiasa
 
Back
Top Bottom