Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe.
Nashukuru mama Samia kwa kuwa muwazi vinginevyo tawala zingine hazikuthubutu kuweka mambo haya wazi, ingepigwa juu kwa juu.
Asante Dkt Samia.
Twendeni tukausome tuache majungu ya mtandaoni au vikao vya siri vya kipumbavu.