Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hawasomi na kuelewa, that mean wapo tu kama wamekatwa vichwa, wana erupt tu kufuata mkumbo.Achana na walinda ugali.
Wananchi wote hawaitaki hiyo kitu isipokuwa tu walioko kwenye ugali. Wako tayari kulamba ushuzi wa Bi-TOZO ili tu ugali usipungue mezani.
mbona mimi naukubali . mmeshaambiwa nendeni mkajadili kipengere kwa kipengere hamtaki. inamaana ninyi tushawashtukia mnatumika na kenyaAchana na walinda ugali.
Wananchi wote hawaitaki hiyo kitu isipokuwa tu walioko kwenye ugali. Wako tayari kulamba ushuzi wa Bi-TOZO ili tu ugali usipungue mezani.
Unajadili na mtu kaweka polisi mlangoni ili iweje?mbona mimi naukubali . mmeshaambiwa nendeni mkajadili kipengere kwa kipengere hamtaki. inamaana ninyi tushawashtukia mnatumika na kenya
Kwa nini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa haikuitisha kikao kama hicho kabla ya kusaini Mkataba??Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe.
Nashukuru mama Samia kwa kuwa muwazi vinginevyo tawala zingine hazikuthubutu kuweka mambo haya wazi, ingepigwa juu kwa juu.
Asante Dkt Samia.
Twendeni tukausome tuache majungu ya mtandaoni au vikao vya siri vya kipumbavu.
Yeye mwenyewe haelewi, atamwelewesha Nani amwelewe?Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe.
Nashukuru mama Samia kwa kuwa muwazi vinginevyo tawala zingine hazikuthubutu kuweka mambo haya wazi, ingepigwa juu kwa juu.
Asante Dkt Samia.
Twendeni tukausome tuache majungu ya mtandaoni au vikao vya siri vya kipumbavu.
Huyu Naye kashakengeukaNimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe.
Nashukuru mama Samia kwa kuwa muwazi vinginevyo tawala zingine hazikuthubutu kuweka mambo haya wazi, ingepigwa juu kwa juu.
Asante Dkt Samia.
Twendeni tukausome tuache majungu ya mtandaoni au vikao vya siri vya kipumbavu.
Kwa mamlaka gani aliyo nayo?Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe.
Nashukuru mama Samia kwa kuwa muwazi vinginevyo tawala zingine hazikuthubutu kuweka mambo haya wazi, ingepigwa juu kwa juu.
Asante Dkt Samia.
Twendeni tukausome tuache majungu ya mtandaoni au vikao vya siri vya kipumbavu.
Kama Mkataba usha signiwa toka Mwaka Jana,Sasa mnachojadili ni nini!!?Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe.
Nashukuru mama Samia kwa kuwa muwazi vinginevyo tawala zingine hazikuthubutu kuweka mambo haya wazi, ingepigwa juu kwa juu.
Asante Dkt Samia.
Twendeni tukausome tuache majungu ya mtandaoni au vikao vya siri vya kipumbavu.
Wapeelekeeni waarabu wenzenu wa Zanzibar wao wanaelewa hata mkiuweka kwa kiarabu au wao hawataki madolari ya bureHawasomi na kuelewa, that mean wapo tu kama wamekatwa vichwa, wana erupt tu kufuata mkumbo.
SOMENI MUELEWE NINI KIPO!
Kuna mtu hapa jukwaani aliwahi sema tuna taifa la wajinga sasa naamini hili, MTU HAFAHAMU HILI WALA LILE ANALIPUKA TU. πππ
Wangeomba kibali cha maandamano wangepatiwa tu π¬π¬π¬Kwa mamlaka gani aliyo nayo?
Kama ana huo utayari si angeenda kuwapokea wale vijana walioandamana ili awasikilize kuliko aluvyowatumia Polisi kuwakamata na kwenda kuwasweka Lupango?
Hii nchi kuna viumbe vinawaona wenzao ni Mafyonto sana.
Ni weweNimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe.
Nashukuru mama Samia kwa kuwa muwazi vinginevyo tawala zingine hazikuthubutu kuweka mambo haya wazi, ingepigwa juu kwa juu.
Asante Dkt Samia.
Twendeni tukausome tuache majungu ya mtandaoni au vikao vya siri vya kipumbavu.
Ni wewe tu hujausoma, wengine tumeusoma na kuona mapungufu yake. Mkuu wa mkoa ni mwanasiasa na siyo mtaalamu wa sheria au mikataba na hawezi kuwa na geni kuhusu huo mksataba zaidi ya kutetea bila kutoa majibu kwenye vifungu tete.Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe.