Wenye nyumba Dar acheni manyanyaso sisi wengine tunamiliki penthouse tulipotoka

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu.

Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa kelele nyingi kusumbua watu bila sababu za msingi.
 
Lipa kodi mkuu acha hasira, hiyo penthouse yako ungeihamishia dasalama kama ni rahisi
 
Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu.

Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa kelele nyingi kusumbua watu bila sababu za msingi.
Kila mtu akae kwake, rudi namtumbo na mwenye nyumba abaki dar
 
Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu.

Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa kelele nyingi kusumbua watu bila sababu za msingi.
Tafuta hela uache kujitangaza
 
Pole sana mkuu, inaonekana una hasira na huyo landlord wako kama vipi si uhame tu hapo kodi itakapokwisha.
Hapa dar kuna wamiliki kibao wa nyumba za kupangisha ambao hatuna shida na wapangaji ambao wanaheshimu mikataba na makubaliano tunayowekeana.

Hapa dar kuna hadi apartments ambazo zinapangishwa mpangaji hamjui wala hawezi kukutana na mmiliki wa jengo.

Mkuu ni uwezo wako tu unaweza amua kuishi kwenye appartments au hata hotelini kuepusha kukutana na ma landlords directly.

Mwisho unatakiwa ufahamu binadamu tupo tofauti kuna watu wanavisirani sasa ukipanga kwa mtu kama huyo unaweza kuona kero.

Pole sana any way kama huna familia kubwa karibu kwangu ninamalizia kujenga ka chumba kimoja, choo na jiko kodi kwa mwezi Tsh laki 2 very near by the main road just 5 minutes kutoka kituo cha mwendo kasi and very good neighborhood
 
.
Sasa mkuu unamiliki penthouse halafu unataka kumpandisha super feo badala ya business class kwenye ndege? Ndio maana unadharaulika basi.
My Queen am the incumbent the bold
 
Sasa mkuu unamiliki penthouse halafu unataka kumpandisha super feo badala ya business class kwenye ndege? Ndio maana unadharaulika basi.
Sasa namtumbo kuna uwanja wa ndege wa kutua ndege yenye siti za bizines class?
 
Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu.

Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa kelele nyingi kusumbua watu bila sababu za msingi.
Lipa kod kwa wakat na ulipe umeme unawakwaza wenzako acha nyenyenyeee
 
Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu.

Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa kelele nyingi kusumbua watu bila sababu za msingi.
Sasa hayo mambo si ukamwambie huyo mwenye nyumba wako.

Sisi hayatuhusu hayo.

Pambana na hali yako.
 
Back
Top Bottom