BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
- #21
Rubbish🚮Sasa hayo mambo si ukamwambie huyo mwenye nyumba wako.
Sisi hayatuhusu hayo.
Pambana na hali yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubbish🚮Sasa hayo mambo si ukamwambie huyo mwenye nyumba wako.
Sisi hayatuhusu hayo.
Pambana na hali yako.
Nyumba ni Dar Bwana hata kama unamilki Ghorofa Mkoani Mtwara unazidiwa na mwenye Banda lake Mjini Ilala Gmboto.Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu.
Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa kelele nyingi kusumbua watu bila sababu za msingi.
ChaiNilipanga nyumba moja hapa Dar. Wapangaji wawili Wana wake zao pia mwenye nyumba ana mke. Mimi na mdada mmoja wa kichaga slay queen ndio tulikua hatuna wenza. Kipindi Niko likizo ndefu ya chuo hua narudi kwenye chumba changu, chuo kikifunguliwa narudi mlimani.
Sasa kipindi Cha kiangazi nilikua likizo, nilikua naingiza Malaya wa kila aina usiku bila MTU kujua. Uzuri nilikua natumia Kinga na baadaye kuzitupa kwenye choo Cha shimo.
Likizo ilipoisha nilirudi zangu chuo na mvua za masika zikaanza. Unajua Dar kipindi Cha mvua water table inakuja juu na vyoo vinajaa mpaka Kama centimitre 30 kutoka usawa wa unapokanyaga. Yaani ukiingia inabidi uwe na ujasiri wa kukwepa maji yanayoruka yasikuchafue.
Sasa zili kondom zote nilizotumia nazo zikaja juu zinabembea Kama visamaki Fulani. Kumbuka Mimi Niko chuo na mle ndani aliyebaki bila mwenza Ni yule mdada wa kichaga. Baba mwenye nyumba alipoziona moja kwa moja alijua alozitumia Ni mtoto wa kichaga. Mzee alimuita wewe Edna mbona unatupa mipira ya kiume hapa chooni ilhali unajua hii nyumba Ina watoto? Edna akasema sio yeye. Mzee akasema humu ndani kila mtu ana MTU wake, Ni ewe tu ndio utakua unatupa kondom chooni. Hebu nenda kaondoe kondom zako kule chooni. Basi dada na aibu zote mchana kweupe na fimbo akawa anafanya uvuvi wa kondom huku wapangaji wambea wakiswahili wakiwa na Raha kupitiliza.
Ni sehemu gani zipo mkuu??Pole sana mkuu, inaonekana una hasira na huyo landlord wako kama vipi si uhame tu hapo kodi itakapokwisha.
Hapa dar kuna wamiliki kibao wa nyumba za kupangisha ambao hatuna shida na wapangaji ambao wanaheshimu mikataba na makubaliano tunayowekeana.
Hapa dar kuna hadi apartments ambazo zinapangishwa mpangaji hamjui wala hawezi kukutana na mmiliki wa jengo.
Mkuu ni uwezo wako tu unaweza amua kuishi kwenye appartments au hata hotelini kuepusha kukutana na ma landlords directly.
Mwisho unatakiwa ufahamu binadamu tupo tofauti kuna watu wanavisirani sasa ukipanga kwa mtu kama huyo unaweza kuona kero.
Pole sana any way kama huna familia kubwa karibu kwangu ninamalizia kujenga ka chumba kimoja, choo na jiko kodi kwa mwezi Tsh laki 2 very near by the main road just 5 minutes kutoka kituo cha mwendo kasi and very good neighborhood
LUPA KODI YA WATU huna haja ya kuwa na maneno mengiHuyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu.
Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa kelele nyingi kusumbua watu bila sababu za msingi.
Kwa sasa sina sehemu iliyo wazi mkuuNi sehemu gani zipo mkuu??