Wenye nyumba Dar acheni manyanyaso sisi wengine tunamiliki penthouse tulipotoka

Nyumba ni Dar Bwana hata kama unamilki Ghorofa Mkoani Mtwara unazidiwa na mwenye Banda lake Mjini Ilala Gmboto.
 
Nilipanga nyumba moja hapa Dar. Wapangaji wawili Wana wake zao pia mwenye nyumba ana mke. Mimi na mdada mmoja wa kichaga slay queen ndio tulikua hatuna wenza. Kipindi Niko likizo ndefu ya chuo hua narudi kwenye chumba changu, chuo kikifunguliwa narudi mlimani.
Sasa kipindi Cha kiangazi nilikua likizo, nilikua naingiza Malaya wa kila aina usiku bila MTU kujua. Uzuri nilikua natumia Kinga na baadaye kuzitupa kwenye choo Cha shimo.
Likizo ilipoisha nilirudi zangu chuo na mvua za masika zikaanza. Unajua Dar kipindi Cha mvua water table inakuja juu na vyoo vinajaa mpaka Kama centimitre 30 kutoka usawa wa unapokanyaga. Yaani ukiingia inabidi uwe na ujasiri wa kukwepa maji yanayoruka yasikuchafue.
Sasa zili kondom zote nilizotumia nazo zikaja juu zinabembea Kama visamaki Fulani. Kumbuka Mimi Niko chuo na mle ndani aliyebaki bila mwenza Ni yule mdada wa kichaga. Baba mwenye nyumba alipoziona moja kwa moja alijua alozitumia Ni mtoto wa kichaga. Mzee alimuita wewe Edna mbona unatupa mipira ya kiume hapa chooni ilhali unajua hii nyumba Ina watoto? Edna akasema sio yeye. Mzee akasema humu ndani kila mtu ana MTU wake, Ni ewe tu ndio utakua unatupa kondom chooni. Hebu nenda kaondoe kondom zako kule chooni. Basi dada na aibu zote mchana kweupe na fimbo akawa anafanya uvuvi wa kondom huku wapangaji wambea wakiswahili wakiwa na Raha kupitiliza.
 
Chai
 
Ni sehemu gani zipo mkuu??
 
LUPA KODI YA WATU huna haja ya kuwa na maneno mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…