jamaa yako pdiddy kafungua uzi unaitwa HOW TO RESPECT YOURSELF kasome ubaini makosa yake tenaMkuu unataka ulipwe au? fungua twisheni kabisa
Nayo ni loophole, vile wengi uaminifu hawana , tusishangae hayo matukioNa je kama kutafanyika upakaziaji, nyumba inatupiwa dawa za kulevya kisha wanakuja askari na kusema tumezikuta kwenye nyumba hii itakuaje? Ni utata mtupu
Kabla hajapanda kwenye podium lazima ashtue Embassy km 3/4 hivi na akisema Embassy nazo ni dawa za kulevya basi yeye atakua wa kwanza kukamatwa na kuwekwa ndaniHawa wapuuzi kuna wakati wanalewa madaraka na kuropoka ovyo kama watu waliokula madawa ya kulevya. Huyo aliyetamka hayo maneno inawezekana naye amelewa madawa ya kulevya. Akamatwe apimwi madawa mwilini mwake.
Mahakama kwani yenyewe inasemaje kuhusu V8!!??Na hadi leo huyo mbunge hajawahi kutajwa wala kukamatwa.
View attachment 3161119
Kwanza kitendo cha kupokea kodi tu kutoka kwa mpangaji, hiyo nyumba si mali yako tena hadi pale kodi itakapo kwisha,ndiyo nyumba inarudi kwa himaya yako na unaweza hata kuingia ndani saa yoyote ukitaka!!Nyumba zangu za kupangisha Kuna kupengele Mali ya mpangaji ni yake haisiani na mwenye nyumba hata ulinzi WA Mali zake ni juu ya mpangaji mwenyewe,Sheria ya Lyimo inakinzana na masharti ya wapangaji wangu
Kila sehemu kuna watu waaminifu, na wengine siyo waaminifu, halkadhalika wapangaji! na hadi huko serekalini wapo pia!!Biashara ya nyumba za kupanga, ni changamoto kwa baadhi ya maeneo na kwa baadhi ya wapangaji wasio waaminifu coz anaweza fanya tukio huko au nyumba yako ikahifadhiwa vitu vibaya kama hilo angalizo.
Kijana yupi mkuu?Huyo kijana amenukuu hicho kifungu cha sheria? Au maneno tu. Ndio maana serkali yetu inaingia kesi ambazo itashindwa huko mbele na kulipa gharama kubwa.
Kwani sheria za upangaji zinasema ukipangisha mtu unaingilia faragha zake?
Mahakama ndio inaweza kutofasri hiyo sheria feki na nitashangaa kweli kama ipo
Kwamba ukiweka hicho "kipengele" kwenye mkataba halafu mpangaji akakutwa na bangi au heroine ndani ya hiyo nyumba wataacha kuitaifisha?Hapo deal ni kuweka hicho kipengele kwenye Mkataba wakati wa kumpangisha mtu.
Mimi niliwahi kuweka kipengele cha kumtaka Mpangaji kueleza kazi ama shughuli aifanyayo kuendesha maisha yake
Hii ilisaidia kutowapangisha watu Wasumbufu kulipa Kodi
Hopefully na hicho kipengele kikiwepo kwenye Mkataba wa kupangisha, kitasaidia kumlinda mwenye nyumba
Yes, atleast hapo unaweza kupata som sort of proof kwamba mwenye nyimba alikuwa anajua, lakini, nado nayo ni rahisi kukana, maana atasema yeye huwa haingii kukagua vyumba vya wapangaji..hapo sasa labda mwenye nyumba nae awe anaishi humo pamoja na wapangaji wake na sheria hii inafaa sana kwa zile nyumba za kupanga chumba kimoja kimoja huku mitaani..ila zile full zenye fensi na mageti hiyo ukishapangisha hauna mamlaka nayo tena mpaka mwisho wa mkataba maana ni ngumu kumbana uliyempangisha ..ila wafanya maamuzi wa nchi hii wanasikitisha sana
Serikali ya Tanzania huwa inashindwa kesi zinazofunguliwa kwenye mahakama za nje ya nchi tu, siyo za ndani ambazo ni zake na hukumu hutolewa kwa kufuata maelekezo kutoka juuNdio maana serkali yetu inaingia kesi ambazo itashindwa huko mbele na kulipa gharama kubwa..
Kuna baadhi ya Sheria, kabla hazijapitishwa huwa wanakusanya maoni ya WadauKwamba ukiweka hicho "kipengele" kwenye mkataba halafu mpangaji akakutwa na bangi au heroine ndani ya hiyo nyumba wataacha kuitaifisha?
Hapo dawa ni kuipinga hiyo sheria ya hovyo ifutwe (kama tayari ipo), ila wakiipitisha huwezi kuzuia utekelezaji kwa kigezo cha Mkataba.
Watawala walishagundua kuwa raia ni wapole, watawaonea sana hadi watakapozinduka
Tz, roho mbaya, daima kutunga sheria za kukandamiza na kuumiza WaTz! Madawa yamekutwa ndani ya Tz, je nchi itaifishwe, maana kama mamlaka mmeshindwa kuyadhibiti, mna kwenda kukomoa Mtz asiyehusika na madawa! Serikali mmeshindwa kazi!Wakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
hahahaaaa! We jamaa wewe, nimecheka sana leo. Kwa hiyo na wewe ni wa hovyo!Sheria ya ovyo hutumika tu kwenye nchi ya ovyo yenye viongozi na raia wa ovyo.
kwa mwendo huu polisi ccm watamiliki nyumba za kisasa kabisaWakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
KWa huu mwendo itabidi tutaifishe nchi yenyeweWakuu,

Mkataba ni baina yenu, siyo serikali. Itataifishwa vizuri tu.Nilichogundua kuweka vipengele muhimu kwenye mkataba wako wa upangishaji,ambavyo viwe na masharti yatakayokuepusha na iyo kadhia ikitokea